JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

In all my years of conquest... [emoji123]
Violence...[emoji83] Slaughter... [emoji91]It was never personal. [emoji33]
But I tell you now...[emoji3517] What I'm about to do to your stubborn,[emoji51]
Annoying little planet...[emoji288] I'm gonna enjoy it...[emoji4] Very very much.[emoji23]
[emoji440][emoji440][emoji440]
 
Chukua likizo kabisa. Hiyo timu itakuwa ndefu. Tutakwenda pia kutembelea maji yanayozunguka huko Kiwira, Tukuyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Team? [emoji38][emoji38][emoji38] Dar yenye nitaondoka muda sio mrefu nitachagua kuelekea Arusha au Dodoma mm ndio nitachagua wapi nianze sasa hiyo team natoa wapi mm [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Likizo hakuna naweza nisiwe hata na muda wa kusherehekea sikukuu zijazo [emoji17]
Unajua maisha ni haya haya. Ukitaka kujua namna watu wanakuthamini ukiwa mzima, ukifa tu na nafasi yako itapa mtu mwingine. Hivyo usipende kujionyesha wewe ndio kila kitu kwa organization.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maisha ni haya haya. Ukitaka kujua namna watu wanakuthamini ukiwa mzima, ukifa tu na nafasi yako itapa mtu mwingine. Hivyo usipende kujionyesha wewe ndio kila kitu kwa organization.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi za watu alafu zinatakiwa on time ndio problem inapoanzia sasa Kwahiyo lazima uwajibike ukiwa nje ya muda.
 
Back
Top Bottom