Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
we saiz anza kutafuta watu wa kwenda huko unaweza ukapata wengi zaidi.Hatukatia kuwajibika hata sisi vile vile tunawajibika kumeet deadlines. Lakini kupumzika kwa ajili ya ku clear mind ni muhimu sana ili kuleta ufanisi wa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo usinipangie. Tekeleza wajibu wakowe saiz anza kutafuta watu wa kwenda huko unaweza ukapata wengi zaidi.
Kazi ni muhimu sana jua hilo kwanza alfu mengine yanafuata sasa..






Unaumba watu. Huyo Mungu tu alipumzika itakuwa wewe.Kazi ni muhimu sana jua hilo kwanza alfu mengine yanafuata sasa..
Acha wenge sasa


utapumzika ukifa.Ndio unajidanganya hivyo. Ukifa haupumziki ila unaoza. Maisha ya duniani yana hisia. Ndio maana unapaswa kuya enjoy ukiwa hai.Acha wenge sasautapumzika ukifa.
Safari za Adventure nimefanya sana kwenye umri wangu hakuna mtu anayependa safari kama mm.Ndio unajidanganya hivyo. Ukifa haupumziki ila unaoza. Maisha ya duniani yana hisia. Ndio maana unapaswa kuya enjoy ukiwa hai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kurukaruka kama maharage. Una umri upi wa kutuchimbia mkwara sisi wahenga bwana mdogo?Safari za Adventure nimefanya sana kwenye umri wangu hakuna mtu anayependa safari kama mm.
Tuanze hapo Moro wapi umetembeza sana ww?Wacha kurukaruka kama maharage. Una umri upi wa kutuchimbia mkwara sisi wahenga bwana mdogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niulize labda SA ila sio bongo. Bongo hakuna sehemu sijafika.Tuanze hapo Moro wapi umetembeza sana ww?
Bongo hujamaliza acha uwongo Bongo inavivutio vingi umesahau tu juu hapo unataka kwenda Mbeya ukaone lile bwawa?

Kwangu ni marudio mzee. Nimechafua kote huko.Bongo hujamaliza acha uwongo Bongo inavivutio vingi umesahau tu juu hapo unataka kwenda Mbeya ukaone lile bwawa?![]()
Mt Kilimanjaro ulishawahi kupanda ww nidanganye na hili sasa?



Duh! Nikiwa secondary tena o'level. A'level tulikwenda Manyara, Ngorongoro, na Tarangire.Mt Kilimanjaro ulishawahi kupanda ww nidanganye na hili sasa?![]()
Dah acha uwongo mzee hakuna sec yeyote inayoweza ruhusiwa kupanda mt Kilimanjaro jua hilo kwanza maana ule mlima unapanda kwa stage na kila stage inacamp ujapanda mlima Kilimanjaro wwDuh! Nikiwa secondary tena o'level. A'level tulikwenda Manyara, Ngorongoro, na Tarangire.
Sent using Jamii Forums mobile app


Ngoja nilale bhana mm nimepanda sasa najua vizuri alafu kupanda mlima ule ni gharama asikuambie mtu nidanganye kwengine lakini sio Mt Kilimanjaro 





Kwanza tambua kwamba mimi ni mkongwe, sijasoma hizi shule za mum and dad I'm going. Safari yenyewe tulitumia lori la shule STG. Hiyo namba ushawahi kuiona toka umezaliwa bwana mdogo?Dah acha uwongo mzee hakuna sec yeyote inayoweza ruhusiwa kupanda mt Kilimanjaro jua hilo kwanza maana ule mlima unapanda kwa stage na kila stage inacamp ujapanda mlima Kilimanjaro wwNgoja nilale bhana mm nimepanda sasa najua vizuri alafu kupanda mlima ule ni gharama asikuambie mtu nidanganye kwengine lakini sio Mt Kilimanjaro
![]()