Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ooh Hallelujah nilisikia ulikua kwa jirani yake Ney kwenye maombiAbeeee!

Amekwisha toka jirani kipenzi nakuachia kijiti usiku mwemahNdio aliingia ndani kwa jirani yangu kichwa kichafu, embu jaribu kucheck na kk amfungulie atoke maana ni muda mrefu toka kaingia ndani sijui anapika au anafua
Ndo waenda kuniota? Plz usiondoke nimekumithi ujueUsiku mwemah![]()
![]()

Vingi mno hafu vyote vizuri.Nisimulie ulivyoniota![]()
![]()
Ndio aliingia ndani kwa jirani yangu kichwa kichafu, embu jaribu kucheck na kk amfungulie atoke maana ni muda mrefu toka kaingia ndani sijui anapika au anafua

Ndo maana jirani yako anakuchabogi,kumbe nawe unachobogi mambo yakeNdio aliingia ndani kwa jirani yangu kichwa kichafu, embu jaribu kucheck na kk amfungulie atoke maana ni muda mrefu toka kaingia ndani sijui anapika au anafua

Nimemrudisha ila usiku mwema wakuu

Acha nikakuote Thad.Ndo waenda kuniota? Plz usiondoke nimekumithi ujue![]()
![]()
Wacha weee! Ngoja leo nilale na tabasamu.Vingi mno hafu vyote vizuri.
Nitakuja kusimulia leo acha nikaongeze tena.
Usiku mwemah
Anasingiziwa KK wa watu....mimi nilizimishwa na vile viroba vyako va kg 50 nilivyokuja kuchukua hapo kwakoOoh Hallelujah nilisikia ulikua kwa jirani yake Ney kwenye maombi![]()

Lala vidole visije vikaandika matusi bila kukusudiaUsikimbie nina kesi na wewe!
Anasingiziwa KK wa watu....mimi nilizimishwa na vile viroba vyako va kg 50 nilivyokuja kuchukua hapo kwako![]()
![]()
![]()
