JamiiForums Usiku wa manane
That's true. Na kumbuka pia ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.
Yeah, ukichagua aina fulani ya maisha hata kama si ya kweli hakikisha una uwezo wa kuyaishi muda wote pasi na kuacha ya kutia shaka. Sasa shida huwa inakuja mtu unataka kuishi maisha ya aina tofauti kwa wakati mmoja na watu wakiconect dots, wanaona chenga so lazima wakulipue tu hakuna namna.
 
Ila uongo nao ni kipaji
 
Back
Top Bottom