Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,960
Buddas mpo sawa
Afadhali umekuja
Buddas mpo sawa
Wewe zawadi zako hywa zinaishia hewani tu 😁 . Af nikutakie usiku mwema in advanceKuna zawadi yako leo inabidi uchangamke sasa [emoji23]
Unataka kuharibu mipango naona njama zako nishazielewa hii league hutoondoka na kombe ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo umebamba sio [emoji3][emoji3]Dogo unanichukulia mm fisi km ww.. bora umpe hizo habari Drizzle ..mzee kokoro [emoji23][emoji23]
Fresh Niaje?Buddas mpo sawa
Ndio unanikimbia hivyo?Wewe zawadi zako hywa zinaishia hewani tu [emoji16] . Af nikutakie usiku mwema in advance
Atarudi kaenda kupika kahawa.chiqutitta ulijua kukesha masikhara.?
[emoji38][emoji38][emoji38] Jidanganye.Huyu dogo hanipi tabu.namuweza
Unalakusema mzee wangu embu tia neno hapo kwanza [emoji4]Duh!
Atarudi kaenda kupika kahawa.
Ndio unavyo tamba hapa sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya hongera zako nasubilia mrejesho lakini tafadhali usirudi ukiwa mnyonge sawa.Usimsumbue, namkeep bize piyemu. [emoji847][emoji3][emoji3]
Ndio unavyo tamba hapa sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya hongera zako nasubilia mrejesho lakini tafadhali usirudi ukiwa mnyonge sawa.
Nina Lisa hapa unasemaje ni mapema saiz.Naona vijana leo mapema kabisa
Then, Show me what you got.. [emoji4]Tulia wewe, imeisha hiyoooo.