JamiiForums Usiku wa manane
Kwa hiyo jamaa 🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️ ID yake 😀😀😀. Watu wabaya sana
Sasa hivi tunaweza kuwa naye kwa ID mpya. Lakini kupitia hayo tunajifunza kuwa makini kwa kila tunachokifanya mitandaoni. Internet never forgets, so kabla ya kuandika kitu ni busara kufikiri katika kila pembe.
 
Asante aisee, but kila nikikumbuka katika matukio yote sikuumia hata kidogo ilhali pikipiki zilikuwa zinaharibuka vibaya ni wazi Mungu alikuwa ananipa nafasi nyingine.

Mkuu wewe ukiwa anaendesha mimi ntakachokifanya ni kukupungia mkono tu, hata lift sitotaka.
kesho nikaazime ka boxer nitambe mjini binti wawatu
 
Back
Top Bottom