Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Mkuu mimi nakuaga na vitu vyepesi vyepesi karibu.Yaani hapa kwenyewe nilipo nina njaa moja kali sana hii huwa naona ni kali kuliko zote aisee.
Nikiamka chai kwanza salamu badae
Mkuu mimi nakuaga na vitu vyepesi vyepesi karibu.Yaani hapa kwenyewe nilipo nina njaa moja kali sana hii huwa naona ni kali kuliko zote aisee.
Food monga 😂Mkuu mimi nakuaga na vitu vyepesi vyepesi karibu.
Nikiamka chai kwanza salamu badae
Yeah ni sahihi kabisa unavyofanya. hapa sasa hivi nimeshajichemshia tangawizi karibuni tupashe utumbo.Mkuu mimi nakuaga na vitu vyepesi vyepesi karibu.
Nikiamka chai kwanza salamu badae
Usiku wote huu?Rowin njoo tuyajenge.
Huoni kama kuna utulivu. Usiku ndio mambo ya msingi hufanyika.Usiku wote huu?
Tufunge Lindo. Mengine baadae.Huoni kama kuna utulivu. Usiku ndio mambo ya msingi hufanyika.
Haha kwa kweli, tumbo la asubuhi sio mchezo. La mchana nikiwa bize napitiliza vizuri tu. Ila asubuhi dahFood monga 😂
Lindo halifungwi, labda mimi na wewe tuondoke tukamalizie kulinda huko tutakapo kuwepo, kazi popote tu.Tufunge Lindo. Mengine baadae.
upo vizuri mkuu naona unapata chai tibaYeah ni sahihi kabisa unavyofanya. hapa sasa hivi nimeshajichemshia tangawizi karibuni tupashe utumbo.
Kabisa mkuuupo vizuri mkuu naona unapata chai tiba
Tukasali sasa5:50
Unataka nibania sasa! Hebu acha hizo the sweet fanya jambo maneno sahivi tuwaachie wenye maneno yetu matendo mrembo..😉ya lile si unayo?
Endelea kusubiriUnataka nibania sasa! Hebu acha hizo the sweet fanya jambo maneno sahivi tuwaachie wenye maneno yetu matendo mrembo..![]()
Okay.. nakusubiri my darling..😉Endelea kusubiri
Hapana ratiba ya lindo ipo kama kawaidaJumapili ni siku ya kupumzika Lindo?