KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,772
- 86,458
Itakuwa vyema ukayasafisha macho yangu..Sina jipya..
Ninalo Lile lile tu
Fanya hivyo murembo the keki usie feki..😉
Itakuwa vyema ukayasafisha macho yangu..Sina jipya..
Ninalo Lile lile tu
Pambania makombe yote hakibaki kitu babulai.
Ha ha!Mpe hongera mume wangu wa ndotoni kwa kua na wivu mwambie nampenda ila asiache kukusumbua
Upate nafasi wakati ushasema mwenye nayo alikusumbuaHa ha!
Vipi naweza ipata nafasi..??
Kabisa league ndio inaendelea tu ushindi mkubwa siku zote.Win win win, hakuna mechi tunashindwaga sisi.
Ha ha!Upate nafasi wakati ushasema mwenye nayo alikusumbua
Ha ha!
Sasa mbute nayo inanafasi ipi..?
Wengine wapo kwaajili ya matumizi mabaya ya Id za wengine!
Lilikuwa jitu tetemeshi tu..
Nipe nafasi mrembo..
tofauti na lindo hauna kingine unafanya muda huu?!Kitu hii hapa. News Alert: - Ajali ya Moto Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu MorogoroAaah acha masihara babu![]()
Usingizi umenielemea hivi sasa ligi naona inaenda kuwa ngumu..😜😂tofauti na lindo hauna kingine unafanya muda huu?!
Nikushauri ulale tu
Yani kuna series nilikuwa naziangalia nikiwa teenager saiz haziruki tena nazimiss mno acha tu nakumbuka zile moment nilikuwa naweza nunua series hadi za elfu 30 likizo ya mwezi wa 6

Kalale ur not u when ur horny / sleepyUsingizi umenielemea hivi sasa ligi naona inaenda kuwa ngumu..![]()
Kweli balaa na nusu.Kitu hii hapa. News Alert: - Ajali ya Moto Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu Morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Msamvu pana balaa gani? Kila siku majanga ya moto hayaishiKweli balaa na nusu.
ya lile si unayo?Itakuwa vyema ukayasafisha macho yangu..
Fanya hivyo murembo the keki usie feki..![]()
Video yenye haionyeshi vizuri hata sec 38 tu.Kitu hii hapa. News Alert: - Ajali ya Moto Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu Morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile tank ndio liliuwa watu bhana mpaka al Jazeera alirusha

Lakini ujumbe umeupata? Fuatilia kwa wadau wa Moro kama ni kweliVideo yenye haionyeshi vizuri hata sec 38 tu.
Wazee wa bata ndio ni watafute saiz ndio watakuwa na habari kamili.