Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Nikajua nimechelewa....kumbe naota.Hapana ratiba ya lindo ipo kama kawaida
Ni.efurahi kukuona hapa lindoni mdogo wangu
Nipo
Nikajua nimechelewa....kumbe naota.Hapana ratiba ya lindo ipo kama kawaida
Ni.efurahi kukuona hapa lindoni mdogo wangu
pole kwa ndoto ya mapema hivi, uko salama lkn?Nikajua nimechelewa....kumbe naota.
Nipo
Hatujambo, sijui nyie huko....mwaka ndio unagawanyika nusu.pole kwa ndoto ya mapema hivi, uko salama lkn?
Huku kwema kabisa tushaipiga sendoff civid sasa tunapambana kuimarisha uchumiHatujambo, sijui nyie huko....mwaka ndio unagawanyika nusu.
Pamoja sana...tuzichangeHuku kwema kabisa tushaipiga sendoff civid sasa tunapambana kuimarisha uchumi
hakika tumekwisha ugawanya mwaka hivyo



here we go 
🆁🆈 🅶🅴🅽🅸🆄🆂Ni ww unachora hizi Pic?
Karibu koplo.ndio naingia lindo sasa namalizia kuvaa gwanda
🅼🅸🅻🅸🆃🆁🆈 🅶🅴🅽🅸🆄🆂
karibu mkuu.ndio naingia lindo sasa namalizia kuvaa gwanda
🅼🅸🅻🅸🆃🆁🆈 🅶🅴🅽🅸🆄🆂
Na mm nitajiletraaa unichoree picha ya mimiKeep learning..this timeView attachment 1465116
we mwanamke unaye tafutwa kama alamasi upo ok?Jumapili ni siku ya kupumzika Lindo?