Unanikumbusha mbali sana nilikuwa nikisoma nikasema ni nyimbo gani hii ya zamani hivi loh TBTLove me like you do, lo,,,,,love me like you do
Love me like you do, lo,,,,,,,love me like you do
Touch me like you do, to,,,,,,,touch me like you do
What are you waiting for?![]()

we mwanamke unaye tafutwa kama alamasi upo ok?
2015Unanikumbusha mbali sana nilikuwa nikisoma nikasema ni nyimbo gani hii ya zamani hivi loh TBT![]()
Huyo dada ana mkwaju mmoja unaitwa "i know you care" itafute hiyo hutajutiaEllie Goulding - Love me like you do![]()
Acha tu jana mambo ndio yalikuwa yameweka moto naona Mr P anatutumia wanajeshi lakini kama kawaida haturudi nyuma mbele kwa mbele tu.Jamani nimetafutwa wapi? mbona nipo...
Salama salimini...
Za Maandamano huko uliko MN?
kupatikana.2015 ni karibu sasa mtoto kashaenda shule maisha ya watu yamebadilika miaka 5 mingi ww tena hiyo ni 2014 sasa.2015
Fifty shades of gray
Mbali unaongelea 97?!

2015 hujaitoa ww hio nyimbo2015 ni karibu sasa mtoto kashaenda shule maisha ya watu yamebadilika miaka 5 mingi ww tena hiyo ni 2014 sasa.
Naipata ni nzuriHuyo dada ana mkwaju mmoja unaitwa "i know you care" itafute hiyo hutajutia