Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Sasa kile kituo kilivyo kizuri. Duh labda kama kina bima watatengenezaLile tank ndio liliuwa watu bhana mpaka al Jazeera alirusha![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kile kituo kilivyo kizuri. Duh labda kama kina bima watatengenezaLile tank ndio liliuwa watu bhana mpaka al Jazeera alirusha![]()
Swadakta. Kama wapo terminal au samaki samaki lazima watakuwa na taarifa hizi.Wazee wa bata ndio ni watafute saiz ndio watakuwa na habari kamili.
Hela bado haijarudi kabisa pale.Sasa kile kituo kilivyo kizuri. Duh labda kama kina bima watatengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki ndio wapo wengiSwadakta. Kama wapo terminal au samaki samaki lazima watakuwa na taarifa hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani. Lazima watakuwa na bima maana ule uwekezaji sio wakitotoHela bado haijarudi kabisa pale.
Meya lazima adate ujue.Kabisa yaani. Lazima watakuwa na bima maana ule uwekezaji sio wakitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu ukeshe hapa.Nmekosa usingizi leo, naona alfajir yaniita![]()
Asante mkuu nmekaribia.Karibu ukeshe hapa.
😔😔😔KENZY
HayaAsante mkuu nmekaribia.
Walaeza kwa Mr P huko
Duh, umedanganya hapo kwenye sekunde.02:42:44