Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Mchana ndo haufi suMi nalala mchana tena kazini mbele za watu, usiku nilale weee usinitanie![]()

Mchana ndo haufi suMi nalala mchana tena kazini mbele za watu, usiku nilale weee usinitanie![]()

Kelele hizi, 30 mnts and ur out of the leagueLeo nataka nishindane nawe tabia ya kutokulala maana dah!!
We kiboko ya kuukosa usingizi sio Siri..
Mchana ndo haufi su![]()
bando mkuuMuda sana boss anakutafuta sana mahudhurio yako ni hafifu sana
Loading...Midadi![]()
Pole na phobia ya aina yake aiseeNadra sana, ila usiku duh!

Zipo 7 mzee wangu.
Aaah acha masihara babuSuper Villain mitaa yako ya kujidai msamvu inateketea kwa moto now. Pole sana mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app

Nitajitahidi...Kelele hizi, 30 mnts and ur out of the league
Au ulipewa Ban maana ww kwa visanga hodari.bando mkuu
Sina jipya..Itakuwa vyema nikipata jipya laazizi
Nitie wakfu niuone wadhifu wako..
Binti maridadi mwenye kunipandisha midadi..![]()
Pambania makombe yote hakibaki kitu babulai.Haya maisha nayadai bado, siruhusu yaniponyoke kizembe.
Leo nataka nishindane nawe tabia ya kutokulala maana dah!!
We kiboko ya kuukosa usingizi sio Siri..





Mpe hongera mume wangu wa ndotoni kwa kua na wivu mwambie nampenda ila asiache kukusumbuaNitajitahidi...
Ila Kuna kitu sikukielewa mahali Kuna mtu alinidaka na kutanabaisha kuwa wewe ni mkewe!!..
Hapo ndo nikajua kuwa mbute muda mwengine huwa udaga..
Ile mutu ilinisumvua!