Konki kichaa
Senior Member
- May 18, 2018
- 102
- 78
Kwnn hahahaDuh, umedanganya hapo kwenye sekunde.
Kwnn hahahaDuh, umedanganya hapo kwenye sekunde.
Kwa sabab ww ni binadamu.Kwnn hahaha
TuliaHabari za mida walinzi wenzangu
Haha ukiona hivyo ndio ameingia lindoni, so anakagua lindo kwanza kabla yakutoa nenoKuna mtu humu kazi yake kugawa likes tu.. ukichangia tu, ye wa kwanza kukugonga like.
Sijui ni bubu...!? Maana hachangii.
Nishatulia then...Tulia
Hello wakufunga lindo lango la mashariki uko powa?3:37
Niko poa, za wewe?Hello wakufunga lindo lango la mashariki uko powa?
Niko gado.. Poleni na kituo cha msamvu usiku huuNiko poa, za wewe?
Ahsante, pole na weweNiko gado.. Poleni na kituo cha msamvu usiku huu