KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,515
- 88,995
Sijui hata nilikukosea wapi...??!!!Safi tu boss
Sijui hata nilikukosea wapi...??!!!Safi tu boss
Nipe nyingine mzee wangu.
Si nishakwambia toka jana na ndio maana pia unaniona hapa. Lile goma ni kali ila ile season ya mwisho kidogo hakunipa yale mamizuka. Fanya mambo basi.Kwanza 100 umemaliza?
Unataka story kama 100 au yeyote kaliSi nishakwambia toka jana na ndio maana pia unaniona hapa. Lile goma ni kali ila ile season ya mwisho kidogo hakunipa yale mamizuka. Fanya mambo basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio itakufanya uwe kamanda mkakamavu. Tunajivunia kuwa na wewe.Nipe nyingine mzee wangu.
Yeyote kali ambayo ina story ya kusisimua na mikono ya maana.Unataka story kama 100 au yeyote kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuto kulala ndio unajivunia [emoji15]Hiyo ndio itakufanya uwe kamanda mkakamavu. Tunajivunia kuwa na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini?Sijui hata nilikukosea wapi...??!!!
Angalia VIKINGS kidogo kama the 100
[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna rangi utaacha ona wwUlichonifanyia leo nahaki ya kulalamika kabisa na ningekuwa mod Wallah ningekupa ban ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njia Ni njia aidha uifuate ama uiache.. aidha unufaike ama upotee ...Kuna cha kujifunza hapa kwenye uwongo wetu [emoji91]
Ushawahi kwenda JKT kwa mujibu wa sheria au ushawahi kufikiria kufanya kazi ya jeshi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuto kulala ndio unajivunia [emoji15]
Umenigaya mpaka naona wivu usiopimika...!Kwanini?
Sijawahi kuielewa hii kitu iseeAngalia VIKINGS kidogo kama the 100
KENZY,Mwache binti yangu alale hahahaaaha@@St Anne njoo unatafutwaSijui hata nilikukosea wapi...??!!!
Kusaidia mara mojamoja jukwaa lako pendwa sio mbaya au unaonajeAnagonga ‘likes’ tu, anajikuta Mkwepu Jr huyu.
Asante sana kwa matusi yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ww leo ndio ulidhamilia mabaya najuta kwann niliituma loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa sio fair kabisa [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna rangi utaacha ona ww
Unaniletea mm virtu vina rangi kama rainbow?! Haladu full vijiti[emoji38]
Hutu ndo tu Cha wi...😅KENZY,Mwache binti yangu alale hahahaaaha@@St Anne njoo unatafutwa
Na wewe mbona umenisusaUmenigaya mpaka naona wivu usiopimika...!