Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Yeah well said [emoji109]Njia Ni njia aidha uifuate ama uiache.. aidha unufaike ama upotee ...
Uamuzi n wako mkuu kuingiza jambo ama kufunga Ubongo.
Yeah well said [emoji109]Njia Ni njia aidha uifuate ama uiache.. aidha unufaike ama upotee ...
Uamuzi n wako mkuu kuingiza jambo ama kufunga Ubongo.
Kusaidia mara mojamoja jukwaa lako pendwa sio mbaya au unaonaje
Shukran sana Boss wangu..Nimependa jinsi ulivyoandika[emoji3526]
Uwe salama pia mkuu,uwe na usiku mwema
Hutu ndo tu Cha wi...[emoji28]
Sema rainbow ilivutia ki baharia[emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana kwa matusi yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ww leo ndio ulidhamilia mabaya najuta kwann niliituma loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa sio fair kabisa [emoji119]
[emoji23][emoji23]Sijaelewa, ila itakuwa naona sawa tu.
Cheers [emoji1635]
😅Na wewe mbona umenisusa
Nitafanya hivyo. Mbadala wake?Angalia VIKINGS kidogo kama the 100
KENZY,Mwache binti yangu alale hahahaaaha@@St Anne njoo unatafutwa
Saint Anne ni binti wa Mungu!.. hivyo sihofu nikiwa ktk upako wake..Ntakupiga ulozi wa usinga kabisa Mkuu....hahahaaaa
Nalinda kimya kimya [emoji4]Hatimae [emoji39]
Nalinda kimya kimya [emoji4]
Huu nu straight wala haupotei kabisa@@kaa kitaalamu..wahuni hatutaki maelezoSaint Anne ni binti wa Mungu!.. hivyo sihofu nikiwa ktk upako wake..
Wewe utatapatapa na ulozi wako bure..
Mimi mzima[emoji28]
Basi tufanye yaishe maana umeanza tambo zako ila sio Siri nimekuhamu Sana..[emoji7]
Vipi weye mzima..??