Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Naaam nmemuona mrembo wetu[emoji847][emoji847][emoji847]
Naaam nmemuona mrembo wetu[emoji847][emoji847][emoji847]
Nimeshamuona mkuuKENZY,Mwache binti yangu alale hahahaaaha@@St Anne njoo unatafutwa
Kaa mbali usinipeperushie ndege wangu..Huu nu straight wala haupotei kabisa@@kaa kitaalamu..wahuni hatutaki maelezo
[emoji3526][emoji120]Shukran sana Boss wangu..
Naaam nmemuona mrembo wetu[emoji847][emoji847][emoji847]
Mi buheri wa afya ila upendo juu yako ndo unazidi kunitamalaki..🤗Mimi mzima
Hofu kwako
[emoji38]Dah , sema sio dhambi hahahahaAlitaka kujikuta Mkwepu Jr. [emoji276]
Nimeshamuona mkuu
Short story
Kaa mbali usinipeperushie ndege wangu..
Kwa waraka na mengi neyo zaidi hamia tele[emoji38][emoji38] confession with kadiny¥Short story
Iko hivi jamaa wapo Ureno alafu majamaa walijua wapo peke yao duniani hapa ndio wanaishi lakini kuna bwege nazi mmoja hivi akawa anasema lazima kutakuwa na watu wanaishi tu kama sisi akaja na hiyo idea ya kutoka nje ya nchi ya Ureno na kwenda mbali kutafuta ardhi nyingine yenye watu lakini wengi walipinga katika hii idea yake hawakumuamini
Pamoja na kumpinga mwana bado hakukata tamaa aliotengeneza boat na kuchukua watu kadhaa na kwenda ng'ambo huko wakitumia jua kama compass huku wakimchukua na kunguru pia kumtumia kama kutakuwa na ardhi na watu wanaishi watajua tu kama akiruka na asiporudi kutakuwa na makazi kama hakuna atarudi na kukaa nao iliendelea kuishi.
Wakafanikiwa bhana jamaa walitua UK wakaanza kuwashangaza watu wa UK na utamaduni wao maana UK walikuwa wanajua dini miaka hiyo jamaa walikuwa wakiishi na mizimu tu basi jamaa wakafanya na vurugu wakaondoka na vitu vya gold kutoka UK na mtu mmoja kama sample wa kuonesha kuwa kuna watu wa wanaishi kama wao hii ni summary ya hiyo season 1 tu Drizzle
Missed you too ....Thank you darling I'm doing great....Rowin ur missed, hope u are well n sound
Uzuri shamba nilishaga lilima zamani sahivi napalilia tu..😜Sawa mkuu basi mimi nipo ni mpenzi mtazamaji#God above all,Christ with us
Endelea kuutamalakisha[emoji23][emoji23][emoji23]Mi buheri wa afya ila upendo juu yako ndo unazidi kunitamalaki..[emoji847]
YeahSawa mkuu hope amefurahi bwana mkubwa#risasi haimuogopi mtu
Wahuni wanabakisha kitu basi hadi maandishi yameisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema rainbow ilivutia ki baharia[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakijabaki kweli?!