Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Dah nilijua ni michano kumbe big anaimba mbana achani [emoji17] lakini rnb yake iko poa [emoji91]Usikilize utaniambia
Dah nilijua ni michano kumbe big anaimba mbana achani [emoji17] lakini rnb yake iko poa [emoji91]Usikilize utaniambia
Naona umedhamilia kufunga geti leo [emoji4]Usingiziless
Gud karibu hommie.Shwari mkuu
Na naelekea kulifunga kweliNaona umedhamilia kufunga geti leo [emoji4]
Yupo mkuu.. amefocuz zaid kwny familia. Album yake ya mwsho "1UP" aliiachia february 2019 na wimb wake wa mwsho "Trover saves the universe" kuuachia ilikuw OctoberIceberg9 said:Hiv T pain amepotelea wapi?
Nilipotea kidogo nimerudi sasa, pande zote za kambi nazifahamuGud karibu hommie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ujinga ww!Na naelekea kulifunga kweli
Saa nane kasoro dakika tatuUlikua unasemaje lugha mgongano
Sina usingizi Sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ujinga ww!
Umepewa silaha lakini?Nilipotea kidogo nimerudi sasa, pande zote za kambi nazifahamu
Kha! Kweli hili ni tatizo [emoji23]Sina usingizi Sasa.
Okey bossYupo mkuu.. amefocuz zaid kwny familia. Album yake ya mwsho "1UP" aliiachia february 2019 na wimb wake wa mwsho "Trover saves the universe" kuuachia ilikuw October
Tayari nipo lindoni, mmeboresha kwa kutupa na thermos za kahawaUmepewa silaha lakini?
Ananyingine inaitwa weak up deadYupo mkuu.. amefocuz zaid kwny familia. Album yake ya mwsho "1UP" aliiachia february 2019 na wimb wake wa mwsho "Trover saves the universe" kuuachia ilikuw October
Twende babaaaa [emoji123]Chris Brown ft Gunna - heat [emoji91][emoji442]
Kifaransa kile mzee [emoji23][emoji23][emoji23]Duh kumbe sghbjgdvnkmijvb usiku