Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Kwahiyo umegeuza usiku kuwa mchana sio?Sina tatizo ni vile tu nimelala sana mchana
Kwahiyo umegeuza usiku kuwa mchana sio?Sina tatizo ni vile tu nimelala sana mchana
duh, ngoja niichek.Super Villain said:Last month
😂😂😂😂Kwahiyo umegeuza usiku kuwa mchana sio?
Fanya hivyoduh, ngoja niichek.
Nachokifanya hapa tungekuwa tunaonekana sijui ingekuwaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana
Unafanya nini.?Nachokifanya hapa tungekuwa tunaonekana sijui ingekuwaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Kina chekesha alafu ni ajabu kweli kusema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafanya nini.?
Mkuu nipo kulisubiria jua hapa.Unafanya nini.?
Mkuu nimetembelea regista,Wapi pako free sasa [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Mkuu nipo kulisubiria jua hapa.
sikati tamaa
Mkuu siku hizi hatusign tena kitabu.Nimeshafika hapa! Vp kwema, wote mshasaini kitabu mbona daftari tupu kule Getini...
Mapema sana tumesainiNimeshafika hapa! Vp kwema, wote mshasaini kitabu mbona daftari tupu kule Getini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hunitakii mema wwMkuu nimetembelea regista,
Kurasa mmpakakurasa,
Mstari kwa mstari.
Inaonekana jimbo la chato lipo free, hebu fanya mpango twende zetu
Nimekupata! Nimekupata! over...4zones-Report! Report! Report! Please ..