Sijapokea hata senti kumi zaidi ya balimi mbiliDuuuh ushapewa mahari nn my kaka
zakunituliza mzuka niliokua nao baada ya kuona Dada yangu unapambana na mdukuzi Thad na Ka-amani

Tupooo
Nimepita tu kukusalimu wii,hujamboTupooo
kama kawaida
Hahaha alafu ujue nimeshangaa napita hapa Lilongwe naona usafiri wangu unasoma signal zako, uko karibu nini
Wanga katika ubora wao

Wachumba nenda love connect mkuu, huku huwa zinatafutwa mbinu za kuwanga na kuloga tu![]()

Jf usiku wa manane
Hahaha alafu ujue nimeshangaa napita hapa Lilongwe naona usafiri wangu unasoma signal zako, uko karibu nini![]()
![]()

Mbona hufiki sasaaaaUnaenda wapi na spidi Kali namna hiyo, simama basi nikusindikize![]()
Gps yako matata, uliweka signature yako mahali nn? I mean kwa mhusikaHahaha alafu ujue nimeshangaa napita hapa Lilongwe naona usafiri wangu unasoma signal zako, uko karibu nini![]()
![]()

Ndo kwenyewe hata hujakosea, sare zetu ni kaniki nyeusi na kitambaa chekundu kwa mkono na kichwaJf usiku wa manane

Hahaha ukiona mpambano unakua mkali sana wala usitie shaka, we si unamuona mke wa rais wa Ufaransa anavyoenjoy, ile ni kazi ya mikono yanguKtk tafiti zako umeona kama nitashinda kweli? Maana mpambano ni mkali halafu KK anashindwa aamue vepeee![]()
![]()
![]()
![]()

Mmmh bado sijaelewa hizo sare zinavaliwa wapNdo kwenyewe hata hujakosea, sare zetu ni kaniki nyeusi na kitambaa chekundu kwa mkono na kichwa![]()

Hahaha punguza mwendo kidogo basi, niko nadrive sema usafiri wangu ulipata hitilafu kidogo nilisahau nikapita karibu na nyumba ya ibadaMbona hufiki sasaaaa

Hahaha hapana kwakweli hii ya kwangu inadetect hata kama mhusika hajawasha locationGps yako matata, uliweka signature yako mahali nn? I mean kwa mhusika![]()

U made me nicheke kwa nguvu looohHahaha ukiona mpambano unakua mkali sana wala usitie shaka, we si unamuona mke wa rais wa Ufaransa anavyoenjoy, ile ni kazi ya mikono yangu![]()