fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Karibu sana Anne.
Nina swali juu yako if you won't mind🤔
Karibu sana Anne.
Karibu Sana mkuuKaribu sana Anne.
Nina dealing juu yako if you won't mind![]()
I like the guy. He knows how to lead the congregation into the Holy of holies
Kwanini uliamua utumie ID hiyo with "Saint"?
Nakuja mkuu
SanaI like the guy. He knows how to lead the congregation into the Holy of holy
Well said mtumishiSana
Ndiye msanii wa gospel ninayempenda.
Napenda nyimbo zake,nikiimba najisikia ujazo wa Roho mtakatifu
John lisu ananivutia kwa kila kitu..hata maisha yake binafsi
Hakika Mungu ana watu wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijikuta tu nimeweka.Kwanini uliamua utumie ID hiyo with "Saint"?
nimeuliza hivi kwasababu nimeipenda
Ni kweli usemalo. Ni miongoni mwa Tanzanian gospel singers ambao waliniinspire sana kuwa na maisha ya kiroho enzi za A level mpaka chuo. Bado Nina nyimbo zake nyingi sana especially za worshipSana
Ndiye msanii wa gospel ninayempenda.
Napenda nyimbo zake,nikiimba najisikia ujazo wa Roho mtakatifu
John lisu ananivutia kwa kila kitu..hata maisha yake binafsi
Hakika Mungu ana watu wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naingia apo sasa hivi mkuu
Asante kwa jibu murua. Keep seeking His face diligently mamii.Nilijikuta tu nimeweka.
Natafuta kuwa na utakatifu...Kuna hatua natamani kufika
Sina sababu nyingine kubwa.
Mungu anasema katika zaburi kwamba watakatifu waliopo duniani hao ndio bora,hao ndio ninaopendezwa nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nampenda SanaNi kweli usemalo. Nina miongoni mwa Tanzanian gospel singers ambao waliniinspire sana kuwa na maisha ya kiroho enzi za A level mpaka chuo. Bado Nina nyimbo zake nyingi sana especially za worship

