Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Nenda pale DPC kabla ya kinondoni makaburini ndipo anapoabudu utamkuta sana.
😍
Bahati mbaya sipo huo mkoaNenda pale DPC kabla ya kinondoni makaburini ndipo anapoabudu utamkuta sana.
Poa mkuu ngoja sisi tulisongeshe0425,nakabidhi shift 😎
Oh that's bad lucky. Ila kama unakuja Dar sio mbaya siku ukaenda kuabudu hilo kabisa na kukata kiu yako
Karibu mkuu
Siku nikibahatika kufika huko nitaendaOh that's bad lucky. Ila kama unakuja Dar sio mbaya siku ukaenda kuabudu hilo kabisa na kukata kiu yako
Hizo ni dalili za kutamani kukijua ili uwe unakiplay mwenyewe.Utanifundisha.
Basi kuna muda nikisikia tu ile keyboard nasisimuka...hisia Fulani zinakuja..
Hapo wimbo haujaimbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mkoa gani Anne?
Utafika tu maana hapa ndio business centre ya Tz.
YahUtafika tu maana hapa ndio business centre ya Tz.