Eti kaambiwa na Mauki[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kawakera watu wengi sana huyu Mahuki. I hope his credibility has imaginal dropped down.
Uwe mwenye kukesha ukaimarishe Mambo yaliyosalia, yanayotaka kufa ndani yako.Ole wao wageuzao giza kuwa nuru, siku ya mwisho watasaga meno, Jokes jmn tuu
Of course I have to toil so that you and our kids could have better life. Imeamriwa hivyo hata kwenye vitabu vitakatifuEti kaambiwa na Mauki[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanaume kuna wakati mnapitia magumu kwenye utafutaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaini na HahiliKama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
Ila unapoteaga😊
Mungu aendelee kubariki kazi za mikono yenuOf course I have to toil so that you and our kids could have better life. Imeamriwa hivyo hata kwenye vitabu vitakatifu
Huwa sipendi kuja Huku ila nipo sana,[emoji6]Ila unapoteaga[emoji4]
Safi tuchape kazi
Naomba uniwekee hapaYou deserve all the glory - Mkululi Bhebhe[emoji443][emoji444][emoji445]
Here is where we socialize maana hii insomnia inatutesa wengi.
Ni kweli mkuu.Here is where we socialize maana hii insomnia inatutesa wengi.
Ni kweli kabisa. Na siku zote ajaribuye huwa hamtupi.
Amen[emoji120]Ni kweli kabisa. Na siku zote ajaribuye huwa hamtupi.