Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Ngoja tuone mipango kama haitagoma ssMwakani [emoji15] can't wait much longer Unajua muda ni mchache saiz.
Ngoja tuone mipango kama haitagoma ssMwakani [emoji15] can't wait much longer Unajua muda ni mchache saiz.
Ila mna moyo.. sasa unasubiria daku time unalala saa ngapiDaku bado
Ah haya bwana[emoji102][emoji39] ya mwisho ilikuaUnajua sipendi [emoji23][emoji23]. Nshakuambia acha kuwa suggestive
Mimi mwenyewe naangusha. Kuna mtu alinipigia simu muhimu sana ndo maana nipo up hadi time hiiNdio mida hii [emoji42]
Hakishindikani kitu najua ila muda ndio utachelewesha tu.Ngoja tuone mipango kama haitagoma ss
Wewe tutajuana kule chimbo maana huku utarukaruka sanaAh haya bwana[emoji102][emoji39] ya mwisho ilikua
Sogea sogea around 😋Miss depal daku tukaribishane
Aah lakini nazani sio simu mbaya hiyo [emoji4]Mimi mwenyewe naangusha. Kuna mtu alinipigia simu muhimu sana ndo maana nipo up hadi time hii
Daku mida wowot tu sema mm ndo vile noctunal nmeanza kula saa6 vya ajabu ajabu nitamaliza saa9 au 10[emoji23][emoji23]Ila mna moyo.. sasa unasubiria daku time unalala saa ngapi
Af siku nyingi sikuoni. Wewe lindo lako night kali na mimi nimekaa macho hadi saa hii kwa bahti mbaya. Kweli daku si mchezoSogea sogea around [emoji39]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] yani unajikuta kazi hii ya ulinzi unazidi kuichukia zaidiYani uko sahihi kabisa
Na jogoo
Ur rightHakishindikani kitu najua ila muda ndio utachelewesha tu.
Ilikuwa ya kheri kiasi flani .sio mbaya sanaAah lakini nazani sio simu mbaya hiyo [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwisha habari yako nikijumlisha na yummy foodie ndo kabisaWewe tutajuana kule chimbo maana huku utarukaruka sana
Wewe nadhani kuna kitu unawaza si bure au huwa unalala mchana woteDaku mida wowot tu sema mm ndo vile noctunal nmeanza kula saa6 vya ajabu ajabu nitamaliza saa9 au 10[emoji23][emoji23]
[emoji4] haya bhanaIlikuwa ya kheri kiasi flani .sio mbaya sana
[emoji23][emoji23]mateso juu ya mateso[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] yani unajikuta kazi hii ya ulinzi unazidi kuichukia zaidi
Ushatepeta..lalaaa[emoji4] haya bhana
Mchana nalala wapi nikiamka saa1 imetoka hioWewe nadhani kuna kitu unawaza si bure au huwa unalala mchana wote
Ahh wapi subiri niweke sura ya kazi hakuna vimacho macho wala yummy yummy stuffs [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwisha habari yako nikijumlisha na yummy foodie ndo kabisa