Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Umeisha ww tulia tu saiz [emoji4]Ushatepeta..lalaaa
Umeisha ww tulia tu saiz [emoji4]Ushatepeta..lalaaa
Nikiamka saa moja sitofanya kitu asee.. less than 5 hours kwangu ni.mtihaniMchana nalala wapi nikiamka saa1 imetoka hio
Am bored labda
Hahahahaha kama kweli vileAhh wapi subiri niweke sura ya kazi hakuna vimacho macho wala yummy yummy stuffs [emoji4]
Yani nataka niache kazi hii[emoji23][emoji23]mateso juu ya mateso
Aacha kujiendekeza wwNikiamka saa moja sitofanya kitu asee.. less than 5 hours kwangu ni.mtihani
Ushakuwa mpole hapo najua saa hii km umekula kungu jinsi ulivyolegeza jicho [emoji23]Umeisha ww tulia tu saiz [emoji4]
Utaona [emoji4][emoji4]Hahahahaha kama kweli vile
Aah wapi niko fit sana tu kwa Lisaa zaidi ya hapo ndio sitaweza kabisa.Ushakuwa mpole hapo najua saa hii km umekula kungu jinsi ulivyolegeza jicho [emoji23]
Sio kujiendekeza. Huwa nalala mara moja kwa siku yani nkiaga bed asubuhi ndo hadi niingie lindoniAacha kujiendekeza ww
Vumilia kidog bwana likizo zako hua ni ndefuYani nataka niache kazi hii
Mi naangusha saa hii tu..ukiona kimya ujue tayariAah wapi niko fit sana tu kwa Lisaa zaidi ya hapo ndio sitaweza kabisa.
Si kama mm tu sema siku nikija kuzima ni balaaSio kujiendekeza. Huwa nalala mara moja kwa siku yani nkiaga bed asubuhi ndo hadi niingie lindoni
Saiz maisha si safi stress zishapungua kiasi.Mi naangusha saa hii tu..ukiona kimya ujue tayari
Unakuwa deep sio. Mimi huwa nalala kiukweli hasa nikiwa nataka fanya kitu cha kutumia akili sanaSi kama mm tu sema siku nikija kuzima ni balaa
Hommie ujue una majungu sana [emoji23][emoji23]. Ukijua kitu lazma uoneshe unajua ila sio mbaya [emoji23]Saiz maisha si safi stress zishapungua kiasi.
Nashindwa kabisa wanabana sanaVumilia kidog bwana likizo zako hua ni ndefu
[emoji23][emoji23][emoji23] We na mwenzio Goddess wote hamna stress nyie mboga 7Hommie ujue una majungu sana [emoji23][emoji23]. Ukijua kitu lazma uoneshe unajua ila sio mbaya [emoji23]
akili zile zile zakuvukia barabara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuwa deep sio. Mimi huwa nalala kiukweli hasa nikiwa nataka fanya kitu cha kutumia akili sana
mm nimesemaWacha weeeh kasema nani