Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Battle na mm huwa hawezi kila siku namshinda huwa nakuwaga hatua moja mbele kumzidi kila siku [emoji4]
Battle na mm huwa hawezi kila siku namshinda huwa nakuwaga hatua moja mbele kumzidi kila siku [emoji4]
Ngoja tuone leoBattle na mm huwa hawezi kila siku namshinda huwa nakuwaga hatua moja mbele kumzidi kila siku [emoji4]
Fugees ft Wyclef jean - Killing me soft [emoji442]Huyo dogo achana nae.. maneno mengi sana af vitendo zero
atakimbia kulala sasa hivi huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakua ashalalaatakimbia kulala sasa hivi huyo.
Karibu Queen of Sheba hakuna ulichoniletea kutokea huko [emoji4]Insomnia [emoji21]
Mapema sana mwanangu huyo namjua hii ndio mida yake kashachapa teyari saiz.
Karibu Queen of Sheba hakuna ulichoniletea kutokea huko [emoji4]
Kwani Sheba sialikuwa mtu wa kuja na zawadi nzuri kem kem, haya basi utaniletea series moja kali unayoipenda.sijaleta kitu hata, labda useme unapenda nini next time nilete
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunichekeshaKwani Sheba sialikuwa mtu wa kuja na zawadi nzuri kem kem, haya basi utaniletea series moja kali unayoipenda.
Aaah [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunichekesha
Kafue nguoInsomnia [emoji21]
Oya kile kipusa vipi sasa?Selena gomez- Rare[emoji445]
Unacheka nini?