Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe ilikuuma sioSi uliniita mkata viuno mwenye buti kubwa af mguu mdogo nkachukulia poa. Ina maana imekuuma sana kukupa sifa zako kaka [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe ilikuuma sioSi uliniita mkata viuno mwenye buti kubwa af mguu mdogo nkachukulia poa. Ina maana imekuuma sana kukupa sifa zako kaka [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umekunywa juice leo kweli[emoji16] Kwahiyo ile sifa nzuri sio? Alafu baadaye useme mm ndio nimekuaribu na subira hiyo lawama.
Nikionaga tu id yako nakumbuka ule wimbo. Embu kama unao nitumie hapa.Nzuri kabisa
Kawaida .mimi si nnakujua jungu zako yaani siku hizi hazinisumbui japo tu ya kuniletea mbovu huku ndo sio poa[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe ilikuuma sio
Leo sijanywa vitamin vimetosha nimepumzika kesho ndio nitaendelea na dose.[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umekunywa juice leo kweli
Oky
Hii ndio Bugatti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tulia new comer.Kawaida .mimi si nnakujua jungu zako yaani siku hizi hazinisumbui japo tu ya kuniletea mbovu huku ndo sio poa
Dogo umefurahishwa na new comer.saa hii umekuwa mpole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tulia new comer.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna namna saiz na mm ngoja niwe mzungu sio au?Dogo umefurahishwa na new comer.saa hii umekuwa mpole [emoji23][emoji23]
Dogo unajifanya traditional wakati unabang na muziki wa mbele na movies ndo kabsaa [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna namna saiz na mm ngoja niwe mzungu sio au?
Hahahaha yani ule hatukulalakapotea sema bado namiss ule mziki wa fiestani 2019
[emoji23]
Hata salamu ndugu mlinzi! !!Nikionaga tu id yako nakumbuka ule wimbo. Embu kama unao nitumie hapa.
Utanipa michoro basi niwe extraordinary au unasemajeDogo unajifanya traditional wakati unabang na muziki wa mbele na movies ndo kabsaa [emoji4]
Ahh wapi wewe kila kitu lazma upinge..mbona mimi vingi nakunjua kiroho safi [emoji4]Utanipa michoro basi niwe extraordinary au unasemaje
Miss chiq, hope ule ushauri wangu kuhusu jambazi Super Villain uliufanyia kaziHahahaha yani ule hatukulala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo hii ndiyo payback yangu sioAhh wapi wewe kila kitu lazma upinge..mbona mimi vingi nakunjua kiroho safi [emoji4]
Dah kwahiyo ndio umeamua kunichalazia sio [emoji23][emoji23][emoji23]Miss chiq, hope ule ushauri wangu kuhusu jambazi Super Villain uliufanyia kazi
Uko poa we mwanamke?0100hrs