MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,045
I admire your courage Amigo.....Lindo jema wakuu.
Have a good night.
I admire your courage Amigo.....Lindo jema wakuu.
Hii gari sijawahi vutiwa nayo kabisa [emoji4]
Cheza cheza utajua tu lakini kucheza hilo game unatakiwa uwe smart sana lina changamsha sana akili.Nijulie wapi mzee, nafungwa hadi najionea huruma[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha kaingia mitini[emoji23]autoe nani mlipaji haonekani eti
Mpaka uione Live uso kwa macho, Ndio utaelew mziki [emoji91] [emoji91]Hii gari sijawahi vutiwa nayo kabisa [emoji4]
Bugatti mm hapana kabisa hata wafanyaje hakuna chakunifanya niwenalo impress kabisa.Mpaka uione Live uso kwa macho, Ndio utaelew mziki [emoji91] [emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
kapotea sema bado namiss ule mziki wa fiestani 2019Hahahaha kaingia mitini
Hii ni chiron au veyron
Mzee unapenda magari..
Weee mzee upo njemaBugatti mm hapana kabisa hata wafanyaje hakuna chakunifanya niwenalo impress kabisa.
Yap niko vyed kabisa, vp lakini uchovu umeisha? [emoji4]Weee mzee upo njema
Yah kaka, Hata Avatar kulikua kuna chuma moja Kali SanaMzee unapenda magari..
ChironHii ni chiron au veyron
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unahitaji matusi.. af niliwahi kulala nkachelewa kuamkaYap niko vyed kabisa, vp lakini uchovu umeisha? [emoji4]
Tafuta pesa uzipark za kutosha ili tuje kuomba kushow off nazo mjini
huu ugomvi kwani nani alianzisha? ww wakuniita muimba kaswida yule [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unahitaji matusi.. af niliwahi kulala nkachelewa kuamka
Haya Haya KakaTafuta pesa uzipark za kutosha ili tuje kuomba kushow off nazo mjini
Si uliniita mkata viuno mwenye buti kubwa af mguu mdogo nkachukulia poa. Ina maana imekuuma sana kukupa sifa zako kaka [emoji16]huu ugomvi kwani nani alianzisha? ww wakuniita muimba kaswida yule [emoji4]
[emoji16] Kwahiyo ile sifa nzuri sio? Alafu baadaye useme mm ndio nimekuaribu na subira hiyo lawama.Si uliniita mkata viuno mwenye buti kubwa af mguu mdogo nkachukulia poa. Ina maana imekuuma sana kukupa sifa zako kaka [emoji16]