Nilihisi ni kwangu tuu kumbe majangaApp nikisanga mzee wangu inagoma.
Nilihisi ni kwangu tuu kumbe majangaApp nikisanga mzee wangu inagoma.
Karibu, Mjep kuna askari mpya hapa kutoka JKT ndio karipoti leo kituo cha kazi 👆Nipo lindoni .
Ataamka tu akisikia wito.Huyu alikuwepo muda si mrefu sijui kapotelea wapi
Nimeshampokea namkabidhi miiko na taratibu za lindo taratiibuKaribu, Mjep kuna askari mpya hapa kutoka JKT ndio karipoti leo kituo cha kazi 👆
Sio kwako tu toka muda alafu sasa.Nilihisi ni kwangu tuu kumbe majanga
Kabisa lazima apewa taratibu zote.Nimeshampokea namkabidhi miiko na taratibu za lindo taratiibu
Karibu afande.Ahsanteni nipo tayari kutii sheria bila ya shuruti.
Yupo karantini huko nazani kajiweka isolation huko.Hakika amepotea sana lindo linapoa
Bibie alikuwa peke yake jana niliona watu walimtenga kama mgonjwa wa corona vile 😂😂😂Jana tulikua na dada yetu Sakayo Amka uwahi lindoni lindo linakusubiri huku
Mr Anderson........Kama kawaida namtafuta NEO yupo wapi saiz namsakama kokote alipo.
Lakini alijitahidi kuchangamsha hapa japo alikua peke yake lkn alihakikisha lindo linakuwa salama muda wooteBibie alikuwa peke yake jana niliona watu walimtenga kama mgonjwa wa corona vile 😂😂😂
Inawezekana ikawa ni sababu hiyo mkuuNadhani wengi hawajazoea web ndio maana unawaona hawapo Mjep mm huwa kotekote nipo fit tu.
Umenionea wapi huyo mtu mzee namtafuta kwa hudi na uvumba 😬Mr Anderson........
Kabisa kitendo alichokifanya jana kilikuwa ni chakishujaa kabisa anastahili pongezi.Lakini alijitahidi kuchangamsha hapa japo alikua peke yake lkn alihakikisha lindo linakuwa salama muda woote
Mimi napenda kusoma ramani.Mzee kuna nn nyuma ya hiyo id ya Greece?
Mboga saba utawaweza washazoea vitu simple simple tu web hawawezi kabisa.Inawezekana ikawa ni sababu hiyo mkuu