Tutakua hatutoboi lindo litabaki bila walizi nadhaniBwana mkubwa ana wivu sana huyu
Tuanze kupeana adhabu za vitasa kwa wategaji
Tutakua hatutoboi lindo litabaki bila walizi nadhaniBwana mkubwa ana wivu sana huyu
Tuanze kupeana adhabu za vitasa kwa wategaji
Mm undecover kabisa hata nikilala unajua niko kaziniBado huyo analala sana humu ww angalia mahudhurio yake tu fuatilia.


😂😂😂 Jidanganye post kesho kutwa usishangae ikipostiwa tena humu usione kimya kuna watu unakuta wametega humo.
Ah kutoboa kupo kitu kuipenda kazi tuTutakua hatutoboi lindo litabaki bila walizi nadhani
Hapa umenena mida ya wanga hii mkuu tangulia watu wamelala
Njoo Anglikana hapa kuna mgahawa nakula saiz.Hapahapa buguruni
Nani 😂😂😂Ww kukuua simple tu tena kwa KO
Sema nanii dah
Ww haujalala usintoe chambo tangulia nakukutaHapa umenena mida ya wanga hii mkuu tangulia watu wamelala
Wapi ww ukishashiba unalala faster tu.Mm undecover kabisa hata nikilala unajua niko kazini![]()
Anglikana?! Malapa auNjoo Anglikana hapa kuna mgahawa nakula saiz.
Ah dah wmtukia kwanzaaaaa mkuko ni mzima siwezi mwaga mcheleeNani![]()
Malapa kwambele kama unaelekea amana.Anglikana?! Malapa au
Nikishiba nalaza ubongo nipate mbinu zakusanya zile terials fastaWapi ww ukishashiba unalala faster tu.
Hahaha hapana mkuu....Dah nikajua kuna story labda kama kina Zeus au hades 😔 kumbe maana sio nilivyodhani.
Left eeeh haaaah isijekua mgawahawa wa ile dispensaryMalapa kwambele kama unaelekea amana.
Utamwaga iddie huo mchele sawa.Ah dah wmtukia kwanzaaaaa mkuko ni mzima siwezi mwaga mchelee
😂😂 Wameisha.Nikishiba nalaza ubongo nipate mbinu zakusanya zile terials fasta
Dah nimeisha yani nilijua kuna bonge la story labda sasa hapa nishatepeta loh 😔Hahaha hapana mkuu....
Huyo kwenye picha anaitwa Xenophon alikuwa ni mwanafalsafa wa Athens.
Hapo hapo.Left eeeh haaaah isijekua mgawahawa wa ile dispensary