Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
We mwanamke it have been a while?12:35
We mwanamke it have been a while?12:35
Wewe dogo ngoja nikuagie pande hizi kabsaa . Lindo jemaCaptain mwenye tena leo ndani ya doria, kwema mzee wangu?
Ndio kumekucha muda wetu huu.
Poa mzee ngoja nishangae shangae tu hapa.Wewe dogo ngoja nikuagie pande hizi kabsaa . Lindo jema
nice night
Agent Smith....Poa mzee ngoja nishangae shangae tu hapa.
Kama kawaida namtafuta NEO yupo wapi saiz namsakama kokote alipo.Agent Smith....
Mzee kuna nn nyuma ya hiyo id ya Greece?Agent Smith....
Hamna namna tuwaamsheTuwaamshe kama vipi
Sasa vp ile kauli ya aliyelala usimuamishe mzee wangu tuifute au?Hamna namna tuwaamshe
Mi naanza na huyu Rowin umehadimika huku njoo lindoniHamna namna tuwaamshe
Kwa muktadha wa lindo hili hakunashaka tukiivunjaSasa vp ile kauli ya aliyelala usimuamishe mzee wangu tuifute au?
Huyo bibie sijui hata kapatwa na nn ni kitambo kweli!Mi naanza na huyu Rowin umehadimika huku njoo lindoni
Natumia web mkuuMjep mzee unatumia web au app saiz kuingia humu?
Basi sawa Goddess unaitwa huku kuna daku ya bure leo.Kwa muktadha wa lindo hili hakunashaka tukiivunja
Hakika amepotea sana lindo linapoaHuyo bibie sijui hata kapatwa na nn ni kitambo kweli!
Karibu mkuuNipo lindoni .
App nikisanga mzee wangu inagoma.Natumia web mkuu
Huyu alikuwepo muda si mrefu sijui kapotelea wapiBasi sawa Goddess unaitwa huku kuna daku ya bure leo.