JamiiForums Usiku wa manane
Yeah, kijivu inatuliza macho...so hata ukiamuka asubuhi na wenge utatulia chap.
Imagine room ina rangi nyekundu...unaweza ukapata ukichaa asubuhi na mapema.😂😂😂

Red mzee 😂😂😂. Chumba kitakuwaje mzee maana kila rangi ina saikolojia flani nyuma yake .usije ingia room unapata feelings za kuua ua tu
 
Back
Top Bottom