orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,960
- 4,929
Usingiz Hamna utalalaje?Mkuu kuna mabingwa humu wanachuki na kulala utadhani kama vile waliambiwa wakilala hawatoamka tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingiz Hamna utalalaje?Mkuu kuna mabingwa humu wanachuki na kulala utadhani kama vile waliambiwa wakilala hawatoamka tena
Alale kwenye adobe mkuu!Nipo...wakati nawasubiri wajumbe wafike ngoja niendelee ku'model hiki chumba huenda siku mtoto mzuri akaja kulala.
View attachment 1451375
View attachment 1451376
Sijawahi kutumia sketch mkuu..sijui kama sketch ni kwa ajili ya 2D au 3D. Ila kwa ninavyo fahamu mimi kwa 3D, hii ndo rahisi kwa kuanzia.Mkuu hivi kati ya hiyo na sketch up ipi ni mzuri kwa mtu anayeanza kujifunza
Haha unaanza kuhesabu kondoo wanaoruka kamba ukifeli anza kusolve maswali magumu magumu
Nimeshawapanga, hawaji. Hivyo lala tu mkuu.Nitakuja wakija mademu
Budda ndo maana sikuoni sheli kumbe umepark hukiMbona bado mapema mkuu.. saa sita utawaona. Kuwa na subra
😂 😂 😂
Shukurani mkuu nitapambana nayo.Sijawahi kutumia sketch mkuu..sijui kama sketch ni kwa ajili ya 2D au 3D. Ila kwa ninavyo fahamu mimi kwa 3D, hii ndo rahisi kwa kuanzia.
Aje wewe 😂..mara moja moja tunachungulia na kutokaBudda ndo maana sikuoni sheli kumbe umepark huki
Upo vizuri mkuu.. sema mimi room ya kulala isiwe na asili ya weupe flani naona kama haijajitoshelezaNipo...wakati nawasubiri wajumbe wafike ngoja niendelee ku'model hiki chumba huenda siku mtoto mzuri akaja kulala.
View attachment 1451375
View attachment 1451376
Vyema mkuu....inatisha sana mwanzoni ila kadri ya siku zinavyokwenda unaielewa kidogo kidogo...Shukurani mkuu nitapambana nayo.
Nataka niongeze skills, maana uchoraji umekua mwingi kazini
Upo vizuri mkuu.. sema mimi room ya kulala isiwe na asili ya weupe flani naona kama haijajitosheleza
Mzee kwani mimi mwana mazingira 😂😂😂Rangi gani unapendelea...kijani? 😀😀😀
Aah sio mbayaAje wewe..mara moja moja tunachungulia na kutoka
Yeah, kijivu inatuliza macho...so hata ukiamuka asubuhi na wenge utatulia chap.Mzee kwani mimi mwana mazingira 😂😂😂
Black & white.. zenye asili hiyo pia kama grey pia fresh