Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
Sawa kiongozi
Vere gudi! Nimetambua uwepo wako
Lindo limefunguliwa rasmi
Watu wanalala sana siku hizTulia tulia kidogo..wanakuja
Mbona bado mapema mkuu.. saa sita utawaona. Kuwa na subraWatu wanalala sana siku hiz
Ngoja tuoneMbona bado mapema mkuu.. saa sita utawaona. Kuwa na subra
Mkuu hivi kati ya hiyo na sketch up ipi ni mzuri kwa mtu anayeanza kujifunzaNipo...wakati nawasubiri wajumbe wafike ngoja niendelee ku'model hiki chumba huenda siku mtoto mzuri akaja kulala.
View attachment 1451375
View attachment 1451376
Mkuu kuna mabingwa humu wanachuki na kulala utadhani kama vile waliambiwa wakilala hawatoamka tenaWatu wanalala sana siku hiz