Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,844
HahahahaUnunio hadi wadada wezi.
Ulikulia beach, ukawaga beach boy na wewe eeh
HahahahaUnunio hadi wadada wezi.
Ulikulia beach, ukawaga beach boy na wewe eeh
Kako na member "spesheli"
Hahahaha kajina kama vile kana ukweli
Nani?Mko salama? Member mwenzetu anaumwa, tumkumbuke kwenye suala zetu
Naam. Kwema lakini ?
Sijambo, shikamoo dada mkubwa.
Gnako ft maua sama - Gusanisha [emoji442]
😆😆😆 snyimbo za sasa zote ni matusi zote ww hupendi Bongo flv,unaskiliza matusi tu[emoji188][emoji188]