Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Muda wa mazoezi huu, wale wa ununio ,mbweni ,bunju muda huuMfunge mageti
Muda wa mazoezi huu, wale wa ununio ,mbweni ,bunju muda huuMfunge mageti
Haha "legacy"
Itakua alifeli mchizi
Kuna vitu flani ulifanya nae, ukivikumbuka unamiss labda kama hakuwa romantic and creativeHaha "legacy"
I'm not sure...
Tena alifeli sanaa... Mkuu kwenye mambo kama haya lazima tuache alama ambayo kila ikikumbukwa mtu anajawa na tabasamuItakua alifeli mchizi
Ununio beachMuda wa mazoezi huu, wale wa ununio ,mbweni ,bunju muda huu
Shule nifeli halafu na hili nalo nifeli ,hapanaTena alifeli sanaa... Mkuu kwenye mambo kama haya lazima tuache alama ambayo kila ikikumbukwa mtu anajawa na tabasamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, usijari siku ukitaka kwenda nishtueUnunio beach
Nimepamiss
WoiiiKuna vitu flani ulifanya nae, ukivikumbuka unamiss labda kama hakuwa romantic and creative
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaItakua alifeli mchizi
Alama nyingine ikikumbukwa mtu anajawa na machoziTena alifeli sanaa... Mkuu kwenye mambo kama haya lazima tuache alama ambayo kila ikikumbukwa mtu anajawa na tabasamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Beach boys wa Ununio wakorofi, niliibiwa mie sina hamu na ile beach. Bora za KigamboniHahahaha, usijari siku ukitaka kwenda nishtue
Yawe ya furaha na si huzuni na hata yakiwa ya huzuni iwe kwasababu ya "The time you guys spend apart will make your love grow stronger than ever"Alama nyingine ikikumbukwa mtu anajawa na machozi
Ukiwa na mm hukabwi na MTU yoyote. Nikulia beach, msasani,kawe,ununio,fery ,bagamoyoBeach boys wa Ununio wakorofi, niliibiwa mie sina hamu na ile beach. Bora za Kigamboni
Hiyo quote 🙌🙌Yawe ya furaha na si huzuni na hata yakiwa ya huzuni iwe kwasababu ya "The time you guys spend apart will make your love grow stronger than ever"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ununio hadi wadada wezi.Ukiwa na mm hukabwi na MTU yoyote. Nikulia beach, msasani,kawe,ununio,fery ,bagamoyo
0618Ununio hadi wadada wezi.
Ulikulia beach, ukawaga beach boy na wewe eeh