Mohamed_jumanne
JF-Expert Member
- Feb 16, 2020
- 331
- 938
O level, Kuna mdada nilimpenda sana baada ya kui perform hii nyimbo kwenye concert shuleni.Mbali o level au primary?
UlitishaO level, Kuna mdada nilimpenda sana baada ya kui perform hii nyimbo kwenye concert shuleni.
Mapenzi ya ki O level na ahadi nyingi za kuoana.😂😂Ulitisha
Keep the good memories alive.O level, Kuna mdada nilimpenda sana baada ya kui perform hii nyimbo kwenye concert shuleni.
Dah,hongera wengine hatukupita hukoMapenzi ya ki O level na ahadi nyingi za kuoana.![]()
I still see her sometimes.Keep the good memories alive.
Ulipitia wapi mkuu?Dah,hongera wengine hatukupita huko
2325@ 1$ maximum rate 2dayCc@Depal hii Ukiipata kabla ya kupambazuka si utakua umeamka vzr au vipi
View attachment 1449605
Mkuu, ujanja ukiwa mwingi , ndio tunataabika sasa ,wenzio wako class ,kuvua unaona diliUlipitia wapi mkuu?
Hahahaha, tafuta namna ikifikie ,Zimebaki chungu kadhaa tu2325@ 1$ maximum rate 2day
Hapa nilipo nishaamka vzr
Me nilianza kudanganywa atanioa chuoni, hata alipo sahivi sijui 😀Mapenzi ya ki O level na ahadi nyingi za kuoana.😂😂
Hahahaha, hope huyu wa sasa kaoa,ataoa soonMe nilianza kudanganywa atanioa chuoni, hata alipo sahivi sijui![]()
Ulisema utapeleka ofisi za JF 😀Hahahaha, tafuta namna ikifikie ,Zimebaki chungu kadhaa tu
Haha ulikuwa unaenda kuvua samaki mkuu? 😂😂Mkuu, ujanja ukiwa mwingi , ndio tunataabika sasa ,wenzio wako class ,kuvua unaona dili
Napita tu mm