fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Chuoni kuna kuwa na high expectations nyingi baada ya kumaliza. Hope mtaonana siku mojaMe nilianza kudanganywa atanioa chuoni, hata alipo sahivi sijui 😀
Chuoni kuna kuwa na high expectations nyingi baada ya kumaliza. Hope mtaonana siku mojaMe nilianza kudanganywa atanioa chuoni, hata alipo sahivi sijui 😀
Tuombe uzima 😀Hahahaha, hope huyu wa sasa kaoa,ataoa soon
Umeadimika leo matron wa lindoNapita tu mm
Sema muda unakaribia
Bana weee , we acha tu ,ujanja / utoto ukizidiHaha ulikuwa unaenda kuvua samaki mkuu?![]()
Naomba ,kadi ya mchango na gharama za keki au ndafuTuombe uzima![]()
Haha mambo hayo ya ujanja ujanja tulifanya primary. O level wengine tulikuwa tushaanza kujitambua ilikuwa msuli kwenda mbeleBana weee , we acha tu ,ujanja / utoto ukizidi
Hahahaha, hv bado ziko sinza eehUlisema utapeleka ofisi za JF![]()
Hopping too, ila nimuone tu nimcheke basiChuoni kuna kuwa na high expectations nyingi baada ya kumaliza. Hope mtaonana siku moja
Uliza kwa mr Google mapHahahaha, hv bado ziko sinza eeh
Haha angalia msije mkakumbushiaHopping too, ila nimuone tu nimcheke basi


Mkuu wengine hy primary kufika mwisho/kumaliza, mtaani hawaamini ,huko kwingine wala hawakusumbuka kupeleka kiumbeHaha mambo hayo ya ujanja ujanja tulifanya primary. O level wengine tulikuwa tushaanza kujitambua ilikuwa msuli kwenda mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali...zote zitakufikiaNaomba ,kadi ya mchango na gharama za keki au ndafu
Mchango wa send off
Mchango wa harusi
😂Mkuu wengine hy primary kufika mwisho/kumaliza, mtaani hawaamini ,huko kwingine wala hawakusumbuka kupeleka kiumbe
Nakubaliana nawe mkuu, tumepitia njia tofauti tofauti sana. Maisha haya hahaMkuu wengine hy primary kufika mwisho/kumaliza, mtaani hawaamini ,huko kwingine wala hawakusumbuka kupeleka kiumbe
Silagi viporo 😝😝😝
Hahahaha ,Leo hii tunakumbuka shuka kumekucha dah
Umeona eehNakubaliana nawe mkuu, tumepitia njia tofauti tofauti sana. Maisha haya haha
Sent using Jamii Forums mobile app