




Hahahaha, sasa mbn unamuamsha ? Muache alale ,wajuba wajiongeze
Jamhuri ya Muungano wa ChattolMkuu uko nchi gani?
Muda bado ,RafikiEti!!
![]()
Huku nilipo kwema ingawa joto limeanza kuchukua hatamu, sijui huko?Thanks Fyd...lindo liko poa, habari za ulipo?
Now I'm playing ..I wanna grow old with you Westlife 🎶🎵
Huku baridi, Mvua zimetaradadi mjiniHuku nilipo kwema ingawa joto limeanza kuchukua hatamu, sijui huko?
Bado kidogo
Ahah huko ndo tunapishana saa moja na Tanzania mainland huku?Jamhuri ya Muungano wa Chattol
Admirable😍😍Now I'm playing ..
Utampa Konda wa AboodVzr sana, ngoja nikutafutie dhawadi ndogo nzuri ,nipe njia ya kukutumia hy dhawadi ikufikie
Hoya mbn mnataja kwetu? KulikoniJamhuri ya Muungano wa Chattol
Ndiyo 😀😀Ahah huko ndo tunapishana saa moja na Tanzania mainland huku?
Ramadhani hii cha asubuhi akiwahusuHahahaha ,muda wa cha asubuhi
Kwenu kumenoga, hongereniHoya mbn mnataja kwetu? Kulikoni
Haina tatizo, nikishindwa napeleka ofc za JFUtampa Konda wa Abood
I wish ningekua huko maana hili joto si rafiki kabisaaaHuku baridi, Mvua zimetaradadi mjini
We mzee lindo lako la chattle umelikimbia?Hoya mbn mnataja kwetu? Kulikoni