Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Mmmh bado masaa 2 zamu yangu ya kulala ifike maana tunapokezana na wenzangu watatu...acha nikeshe kwenye huu uzi
Hahaha kuku washakua wetu manati ya nini, wakileta ubishi we niite tu nina ushahidi usio na shakaKama namuona jje's atakavyojitetea kuwa hakumbuki kilichoendelea.........huku KK akizikimbia tuhuma.
Lakini hebu kwanza.......kisheria,anayetuhumu anapaswa kuthibitisha. vp una uthibitisho wowote wa tuhuma hizi?

Nafurahi kukuona best......ungechelewa tu kidogo huyu mtu wa Mirembe day angekutuhumuNipo shost, nimejaa tele nawachungulia tuu![]()
Najua bado yupo kwenye dozi ndio maana nimekuja faster asije nizulia balaah, na anavyopenda kutoa ushahidi mie hoiiiNafurahi kukuona best......ungechelewa tu kidogo huyu mtu wa Mirembe day angekutuhumu

Hahahaha bibie karibu, jirani yako wamemteka wapi tena? Bundi Thad anamwulizia

Zisiwe tu picha/video/audio za kutengeneza maana wabongo nyie hamshindwi kituHahaha kuku washakua wetu manati ya nini, wakileta ubishi we niite tu nina ushahidi usio na shaka![]()
Hahaha na hizo ndo zitakua sare kwenye yale mafunzo yetu ujueHahahah....hayo mavazi hayakufikaga huku kwetu Nanjilinji,umenitoa kapa

Umeona eeh! Naona huko Mirembe hakumsaidii kitu bora tumpeleke kwenye maombiNajua bado yupo kwenye dozi ndio maana nimekuja faster asije nizulia balaah, na anavyopenda kutoa ushahidi mie hoiii![]()
![]()
![]()
Karibu sana Bundi JodokiMmmh bado masaa 2 zamu yangu ya kulala ifike maana tunapokezana na wenzangu watatu...acha nikeshe kwenye huu uzi
Ahsante mkuuKaribu sana Bundi Jodoki
Nafurahi kukuona best......ungechelewa tu kidogo huyu mtu wa Mirembe day angekutuhumu

Kumbe bora nilivyoyakataa mapema maana.....lakini ngoja,kwamba na wewe utavaa gauni la criplin?Hahaha na hizo ndo zitakua sare kwenye yale mafunzo yetu ujue![]()
Najua bado yupo kwenye dozi ndio maana nimekuja faster asije nizulia balaah, na anavyopenda kutoa ushahidi mie hoiii![]()
![]()
![]()

Hivi hiyo sio kauli ya wahenga kweli?![]()
![]()
Uchochezi sasa huu, ujue hakuna kitu kizuri kama kumpenda jirani yako kama nafsi yako,![]()
Ewaaah umeona wanavyoteteana, jje's hapa kuna kamchezo anatuchezeaJirani yangu kwakweli sijui kapatwa na nini, nikisema michepuko jje's anasema namsingizia kwahiyo sasahivi bora nikae kimya tuu

KabisaUmeona eeh! Naona huko Mirembe hakumsaidii kitu bora tumpeleke kwenye maombi