JamiiForums Usiku wa manane
So sad hata nikitumia zike step zangu za kulala zinagoma wacha nimalize bando may be i can sleep
Heeeh! kumbe kulala kuna stepu zake? ndo maana mi sipatagi usingizi ni kwakuwa situmii step ..............naomba unifundishe hizo steps tafadhali 😉😉😉😉
 
Hakika umechagua fungu lililo jema
Siku nilizopotea nilikua nakuandalia welkam nyiu student
Manga ML weka bili ya viroba duka la mangi kwa mwaka mzima kwa kuniasist binti akaelewa somo
Huna lolote ulivyoona nimekubali tu, ukala kona mazima.......ukajua utaumbuka maana na Manga ML naye akakimbia pia kijiwe kama Kichwa Kichafu alivyokimbia kesi ya jirani yake! 😀😀😀😀 Rudini tu kijiweni, nilikuwa nawapima tu imani sikukubali kikwelikweli
 
Haya haya amkeni kumekucha...........wakulima,wafanyakazi,wafanyakazi,wanafunzi tukawajibike kuijenga Tanzania mama!
 
Huna lolote ulivyoona nimekubali tu, ukala kona mazima.......ukajua utaumbuka maana na Manga ML naye akakimbia pia kijiwe kama Kichwa Kichafu alivyokimbia kesi ya jirani yake! 😀😀😀😀 Rudini tu kijiweni, nilikuwa nawapima tu imani sikukubali kikwelikweli
Ohooh usinifanyie ivyo Bundi Thad,
Ujue nimeshaandaa vifaa vyote vya kufundishia
Sad enough umenifanya nichonge penseli yangu mpya niliyokua sitarajii kuichonga kwa sasa
Alafu mimi kukimbia Uzi ni sawa na fisi kuacha kula mizoga
 
Back
Top Bottom