JamiiForums Usiku wa manane
Ohoooh, inaonyesha huyu jirani yake Neybright sio wa mchezo mchezo, we subiri jje's na Kichwa kichafu waje uwahoji uone watakavyobabaika
Niko tayari kutoa ushahidi
Naona una mpango wa kuwafanya wasije hapa we si unajua wakipataga kesi wanavyotukimbia humu ndani?
Hivi jirani yako Neybright yuko wapi siku hizi? Nimemmiss
 
Hahaha wasipokuja ndo tunahitimisha kesi kwamba tuhuma ni za kweli, bora wajitokeze wajitetee
Neybright kwakweli ana jirani mmoja tu Kichwa Kichafu ambae nimesikia hutekana Mara kwa Mara na wakati mwingine kupigana chabo
 
Kama namuona jje's atakavyojitetea kuwa hakumbuki kilichoendelea.........huku KK akizikimbia tuhuma.
Lakini hebu kwanza.......kisheria,anayetuhumu anapaswa kuthibitisha. vp una uthibitisho wowote wa tuhuma hizi?
 
Back
Top Bottom