JamiiForums Usiku wa manane
Siku kama ya leo tar.10/10/1999 Nyerere alikuwa amebakiza siku nne za kuwa hai duniani,sijui ndugu zangu mlikuwa wapi enzi hizo! Jina la Nleterewa Nganengo limenikumbusha mahali nilipokuwa siku hiyo. Laleni unono bandugu,nami nalala salama!
 
Usiku mwema mydear
 
Ndo maana yake, tatizo lako unajua majina karibu yote ya vinjwaji kuliko hata maandiko matakatifu (sijanywa dawa)
Kwenye maandiko niko vizuri..........au unataka nikusomee ule mstari unaosema 'Mpe maskini kileo asahau shida zake'
 
Siku kama ya leo tar.10/10/1999 Nyerere alikuwa amebakiza siku nne za kuwa hai duniani,sijui ndugu zangu mlikuwa wapi enzi hizo! Jina la Nleterewa Nganengo limenikumbusha mahali nilipokuwa siku hiyo. Laleni unono bandugu,nami nalala salama!
Rudi hapa utuelezee ulipokua, kwanza na sisi tutiririke, umenifanya nipate huzuni ya ghafla.
 
Siku kama ya leo tar.10/10/1999 Nyerere alikuwa amebakiza siku nne za kuwa hai duniani,sijui ndugu zangu mlikuwa wapi enzi hizo! Jina la Nleterewa Nganengo limenikumbusha mahali nilipokuwa siku hiyo. Laleni unono bandugu,nami nalala salama!
Alafu unakimbia wakati jje's kaja
 
Back
Top Bottom