Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Unasemaje we mwanamke mbona ww hukuweka wako pale [emoji41][emoji848]tena nmekumbuka jamaa alitema cheche za herufi kubwa sema nilimuelewa nikakusha
Unasemaje we mwanamke mbona ww hukuweka wako pale [emoji41][emoji848]tena nmekumbuka jamaa alitema cheche za herufi kubwa sema nilimuelewa nikakusha
Mbona yeye hakuwataja favorites wake nilimuona akiwa anazuga zuga tu kwenye uzi [emoji23][emoji23][emoji23]Super Villain una kesi huku
Ah sitaki umbea si unajua mi rastafariUnasemaje we mwanamke mbona ww hukuweka wako pale [emoji41]
Pale sio umbe ilikuwa ni black and white Mbona.Ah sitaki umbea si unajua mi rastafari
Karibu hommie.Hodi humu, leo naomba kuwa memba kipande hii
In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Pm yake unajua inasoma ngapi saa hiiMbona yeye hakuwataja favorites wake nilimuona akiwa anazuga zuga tu kwenye uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakukabidhi shift mkuuHodi humu, leo naomba kuwa memba kipande hii
In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Karibu, vipi unatumia chai, al kasusu au kahawa?Hodi humu, leo naomba kuwa memba kipande hii
In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Hili lilikuwa hali husiani na PM yake mbonaPm yake unajua inasoma ngapi saa hii
List ndefu sasa haez kumbuka kirahisiHili lilikuwa hali husiani na PM yake mbona
Shukrani hommie!!!Karibu hommie.
Hahaha...naona unajipumuzisha mkuuNakukabidhi shift mkuu
Mie naomba gahawaKaribu, vipi unatumia chai, al kasusu au kahawa?
Ngoja nimuite mama mpishi..Shukrani hommie!!!Hahaha...naona unajipumuzisha mkuuMie naomba gahawa
In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
[emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna kitu kama hicho mm hata ukisema mmoja na mmention tu kinaga ubaga.List ndefu sasa haez kumbuka kirahisi
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitoweka kinyume na ahadi kesho nitakuwinda na manati, hutokaa uamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa ngoja nione muda utaongea.
Snap yangu iko wapi ulioniahidi?
Mbona nilikutag uliona.Ile picha ulioniadi kunipa? [emoji41]