Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Kazi anayo [emoji23][emoji23][emoji23] halali mtu hapa kizembe.Wachawi wanatamani wauroge huu uzi ila maana unawaharibia biashara, watu hawalali.
Kazi anayo [emoji23][emoji23][emoji23] halali mtu hapa kizembe.Wachawi wanatamani wauroge huu uzi ila maana unawaharibia biashara, watu hawalali.
Dogo ukiacha unafki utanawiri 😂mm sijui ww unacho sema mbona [emoji41]
Utaona maajabu yangu [emoji23][emoji23]Nataka unioneshe leo hayo maajabu unayosema alafu nakudai unajua?
Ukitoweka kinyume na ahadi kesho nitakuwinda na manati, hutokaa uamini.
Sawa ngoja nione muda utaongea.
Kwani si wanakupiga usingizi tu.. ukija kushtuka simu hauioni kumbe upo uvunguniWachawi wanatamani wauroge huu uzi ila maana unawaharibia biashara, watu hawalali.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hutaki tuunge undugu tena unaniita dad [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. asee natania tu maana hii vita najua utanitafuta hadi napoishi na ukishindwq utaenda hadi bagamoyo.
Awww mm huyo [emoji23][emoji23][emoji23] Mbona sikumuona kwenye uzi wa tag kule?Dogo ukiacha unafki utanawiri [emoji23]
Ile picha ulioniadi kunipa? [emoji41]
Nitajaribu kesho wacha nipambane na task zangu kwanzaSiku hizi nishaizoea na notifications zipo faster..app hadi uone ni mtihani..slow vibaya mno
Niliwataja chama la usiku wa manane na yy hakuwa member. Next question 😊😊Awww mm huyo [emoji23][emoji23][emoji23] Mbona sikumuona kwenye uzi wa tag kule?
Wachawi gani unawazungumzia, hawahawa ambao siku hizi nao wanavaa barakoa wakiwa wanawanga?Kwani si wanakupiga usingizi tu.. ukija kushtuka simu hauioni kumbe upo uvunguni
Poa poa.. pambanaNitajaribu kesho wacha nipambane na task zangu kwanza
Daaahh wanavaa barakoa 😂.. safi sanaWachawi gani unawazungumzia, hawahawa ambao siku hizi nao wanavaa barakoa wakiwa wanawanga?
Uzi haukuwa recommend na watu fulani bali ulikuwa unataka favorite tu.Niliwataja chama la usiku wa manane na yy hakuwa member. Next question [emoji4][emoji4]
😂 😂 😂 😂Daaahh wanavaa barakoa 😂.. safi sana
Mimi ndo nilitoa kutokana na category nilizoona zafaa 😊....Uzi haukuwa recommend na watu fulani bali ulikuwa unataka favorite tu.
[emoji848]tena nmekumbuka jamaa alitema cheche za herufi kubwa sema nilimuelewa nikakushaNiliwataja chama la usiku wa manane na yy hakuwa member. Next question [emoji4][emoji4]
Asee hatari hii😂 😂 😂 😂
Kifo kinatisha mkuu....
Super Villain una kesi huku[emoji848]tena nmekumbuka jamaa alitema cheche za herufi kubwa sema nilimuelewa nikakusha