Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
mm huyo ndio nimekufundisha [emoji23][emoji23] yani hii dhambi nasingiziwa kabisa.Ulinifundisha upuuzi [emoji23][emoji23]..nilikuwa mwema tu
mm huyo ndio nimekufundisha [emoji23][emoji23] yani hii dhambi nasingiziwa kabisa.Ulinifundisha upuuzi [emoji23][emoji23]..nilikuwa mwema tu
Na chiqutitta ukataka kumfundisha kwa soup 😂😂😂mm huyo ndio nimekufundisha [emoji23][emoji23] yani hii dhambi nasingiziwa kabisa.
Usingombanishe mm na chiqutitta ujue [emoji17]Na chiqutitta ukataka kumfundisha kwa soup [emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wetu nashindwa kutumia hii app siku ya 3 haina raha kabisaaaaaaaNgoja nikukabidhi kwa kamati ya roho mbaya japo ntawaambia wapunguze shurba Super Villain Goddess
Karucee unaamini haya maneno [emoji41]I'm one of your secret admirers..
i like how you think, hata wewe wajua how unique it is na hujawahi kosea the way you own it..
karibu
yo the best
Haiya mzee baba navaa barakoa😷😷 na kuangusha gari kabsaaUsingombanishe mm na chiqutitta ujue [emoji17]
Usiku mnene bado.00:46
Bado usiku wa manane haujafika, sasa hivi ni usiku wa masita.
Mdogo wetu nashindwa kutumia hii app siku ya 3 haina raha kabisaaaaaaa
Hapa najitahidi kuotea
Kama crush ndo yule nitakuuua nmesema[emoji38][emoji38][emoji38]Ni wivu tu [emoji23].. unaona kafaidi, ndo maana hufanani na my crush [emoji23]
Umemdanganya gal wa watu ww mzee ww [emoji17]Haiya mzee baba navaa barakoa[emoji40][emoji40] na kuangusha gari kabsaa
Browser najitahidi kuizoea ila najikuta napambana tapatalkAhh imebidi nizoee tu browser maana app huwa haitabiriki ase
[emoji23][emoji23][emoji23]nipo hadi asubuhiWewe si muda unalala
Kama crush ndo yule nitakuuua nmesema[emoji38][emoji38][emoji38]
mm sijui ww unacho sema mbona [emoji41]Unajua @kerucee ni agemate wa aunt yangu ..asa nikimdanganya ntapata nn [emoji16][emoji16]
Siku hizi nishaizoea na notifications zipo faster..app hadi uone ni mtihani..slow vibaya mnoBrowser najitahidi kuizoea ila najikuta napambana tapatalk
Wachawi wanatamani wauroge huu uzi ila maana unawaharibia biashara, watu hawalali.Usiku mnene bado.
Ahh wapi labda km ni mtu tofauti na nnaekujua 😂