JamiiForums Usiku wa manane
Za jìoni jamani huku niliko ndo jua linazama ...bora hata mliokwisha lala
 
Boss wangu, Dada yetu Inna yupo?
Au Saint Ivuga alisha mvalisha pete?
Chelewa chelewa nimekuta mtoto si wangu.
Hahaa nipo rafk angu...ivuga atavalisha pete wangap sasa
 
Hata ningekusalimia usiniitikia......mbona Nleterewa Nganengo alikuwa ananichunia kila nikimsalimia?
Tafadhali usinichonganishe na shost yangu Neybright................

Hizo salamu kwa kweli sijaziona, au labda ulizituma kipitia barua?
Ngoja niendelee kuzisubiri
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Mbona mmelala mazee? Upopo umewashinda?
 
Back
Top Bottom