chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Ndio maana yake huwa sikoseiNazani zitakuwa na hii dawa iliyotoka Madagascar moja kwa moja.
Ndio maana yake huwa sikoseiNazani zitakuwa na hii dawa iliyotoka Madagascar moja kwa moja.
[emoji23][emoji23] Alaa ndivyo unavyo mpooza hivyo.Kausha kwa mme lazima nijitetee kidogo
Hili ni tatizo la wengi na linatengenezwa kwasababu ya mazoea. Tuna uwezo wa kuukiucondition miili yetu iwe katika hali tutakayo.Pole mzee sio tatizo lako pekee yako.
Poa Niaje mzee.
Kuna nini Kwani! Ni mteja wangu alafu ni mshenga ambae namshukuru kwa ulalamikaji wake mpaka ukapunguziwa mahari mpenziHuu utetezi ni mbele yangu yupo ama? [emoji848]
isijekuwa nyuma ya pazia yaliyomo nayo yamo....
Nawekeza kabisa.Hapana ananipa support ya biashara ya barakoa
Yani ni mgumu kama jiwe mara ya mwisho kunitoa out hata sikumbukiNamuangalia tu namsubilia ashindwe kulipa mm nije nilipe hilo deni nikuchukue [emoji23]
Ndio nataka nifanye hivyo [emoji23].Kweli?[emoji4] Muda bado upo waweza fanya hivyo
Tumekula yamini, kiapo kinafanya kaziNgoja akukimbie kipindi hiki cha corona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I love you too sweetheart. Atapata baby wangu, ye mwenyewe majengo Super Villain anajua kuwa nikiwa nae huwa agusi wallet yake
Ila wewe mgumu mpenzi hela mpaka uje kutoa nimefanya kazi ya ziada ila nakupenda hivyohvyoI love you too sweetheart. Atapata baby wangu, ye mwenyewe majengo Super Villain anajua kuwa nikiwa nae huwa agusi wallet yake
Ukija kuchukua barakoa zako tutakuja kuyajenga[emoji23][emoji23] njoo tu huku.
Nakuaminia kwenye hii sector.Ndio maana yake huwa sikosei
Baadae tunaenda kwa wakwe. Nikatoe chochote kuwatuliza mioyo yao😍😍😘Ila muda umepita mpenzi mh!
Ndio[emoji23][emoji23] Alaa ndivyo unavyo mpooza hivyo.
Yes hakuna kinachoshindikana.Hili ni tatizo la wengi na linatengenezwa kwasababu ya mazoea. Tuna uwezo wa kuukiucondition miili yetu iwe katika hali tutakayo.
Yani jamani dah! Sijutii kuwa na wewe[emoji8]Baadae tunaenda kwa wakwe. Nikatoe chochote kuwatuliza mioyo yao[emoji7][emoji7][emoji8]
Atakukondesha huyo njoo upande wa pili huku unenepe [emoji23][emoji23] unateseka nn huko.Yani ni mgumu kama jiwe mara ya mwisho kunitoa out hata sikumbuki
Yani najua mimi[emoji17]