fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,874
- 24,482
Hahaha haya let's it end here.[emoji23][emoji23] Limeisha hilo mzee wangu.
Hahaha haya let's it end here.[emoji23][emoji23] Limeisha hilo mzee wangu.
Hapo umenisingizia tu [emoji23][emoji23] nilikuwa nikupeleke sehemu moja hivi VIP[emoji3][emoji3][emoji3] ebu nipishe uko yani wewe hadi unataka kunipa 2000 tu baada me kukataa kufuatana nawe huko vichochoroni leo unakataa! !!
[emoji3][emoji3] alafu anajifanya analeta wivu wake ngoja mkwewe amgeukieMahari kalipa nusu anadeni ukweni huko [emoji23]
Me nampendaga mshenga muda mwingine yupo vizuri[emoji7]Tena uwe makini katika kuyafuata hayo maagizo mshenga.
Nitamalizia, hilo si tatizo hata kidogo, mke wangu chiqutitta anajua kuwa yote yanawezekanaMahari kalipa nusu anadeni ukweni huko [emoji23]
Nazani zitakuwa na hii dawa iliyotoka Madagascar moja kwa moja.Zipo vizuri utazipenda hutojuta kuzivaa
Kausha kwa mme lazima nijitetee kidogoAah ndio ulicho dhamira leo hiki [emoji23]
Uko macho tangia saa ngapi?
I love you too my hubby lakini mkweo analalamika humkumbuki hata ya bia mbili tatu babeNaona naona mke wangu that's why I love you the most
Hapana ananipa support ya biashara ya barakoaNaona mshenga sasa anatafuta mengine kwa shemeji yake[emoji848]
Namuangalia tu namsubilia ashindwe kulipa mm nije nilipe hilo deni nikuchukue [emoji23][emoji3][emoji3] alafu anajifanya analeta wivu wake ngoja mkwewe amgeukie
Pole mzee sio tatizo lako pekee yako.
Kweli?[emoji4] Muda bado upo waweza fanya hivyoHapo umenisingizia tu [emoji23][emoji23] nilikuwa nikupeleke sehemu moja hivi VIP
I love you too sweetheart. Atapata baby wangu, ye mwenyewe mshenga Super Villain anajua kuwa nikiwa nae huwa agusi wallet yakeI love you too my hubby lakini mkweo analalamika humkumbuki hata ya bia mbili tatu babe
[emoji23][emoji23] njoo tu huku.Me nampendaga mshenga muda mwingine yupo vizuri[emoji7]
Ila muda umepita mpenzi mh!Nitamalizia, hilo si tatizo hata kidogo, mke wangu chiqutitta anajua kuwa yote yanawezekana
Ngoja akukimbie kipindi hiki cha corona.Nitamalizia, hilo si tatizo hata kidogo, mke wangu chiqutitta anajua kuwa yote yanawezekana