Eeeh basi jiepushe tu na hilo supu anywe mwenyewe 😀Hahaha nimeonywa baada ya kunywa supu nitageuka kuwa kitoweo cha mtu
Tuachane na hayo nitumie hela nimalizie mashono ya barakoa zako
Haya limeisha hili nakutumia.Hapana mkuu,nipo lindo muda mrefu...ila natumia kama busta tu kuongeza kinga za mwiliNdyo unaamka mkuu, karibuu
Saiz leta kahawa iwe na tangawizi tuMakamanda, karibuni tupate chai ya tangawizi na limao
Imebidi manake nimekumbuka supu yenyewe ilikuwa na masharti kibaoNa ww leo upo upande wake huyo
![]()
Serious !! Halafu ulivyofanya mmmh nimeanza kujihisi hali flani moyoni juu yako. It might be really .......one day ..



Duuh, pole inatakiwa upate masaa ya kutosha ya kupumzika, uwe unajilazimisha sometimes hadi utazoea tuuSina usingizi nakuwa muda mwengine unakuta labda kesho nafanya kazi lakini bado nalala saa 10 au 9 na mchana silali kabisa lishakuwa tatizo sugu hili.
Kahawa zinaongeza mapigo ya moyo mkuuSaiz leta kahawa iwe na tangawizi tu
Ooh hayaHapana mkuu,nipo lindo muda mrefu...ila natumia kama busta tu kuongeza kinga za mwili
Imebidi manake nimekumbuka supu yenyewe ilikuwa na masharti kibao
Masharti yapi tena yalikuwepo we mwanamke!Kwanini mimi tu nilipewa offer ile wakati kuna walinzi bora zaidi yangu?anakupoteza huyo unajua yote ya uwongo haya anayasema ujue.
Ndio hivyo mkuu,kulala saa 12 asubuhiOoh haya
Na siitaki tena supu yenyewe ya kongoroEeeh basi jiepushe tu na hilo supu anywe mwenyewe![]()

Labda nifanye kazi sana siku hiyo nizunguke mno pilika ziwenyingi sana ndio nitalala saa 7 au 8.Duuh, pole inatakiwa upate masaa ya kutosha ya kupumzika, uwe unajilazimisha sometimes hadi utazoea tuu
Mi nimeshindwa wacha nilale sasaNdio hivyo mkuu,kulala saa 12 asubuhi
Shingapi sasaHaya limeisha hili nakutumia.

Kama ukinywa nyingi ndio inakuwa hivyo.Kahawa zinaongeza mapigo ya moyo mkuu