Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Ninayo sehemu ya kufikia kwa mudaI meant makazi. Naona zimeshaanza kuchukua nafasi lol😂
Ninayo sehemu ya kufikia kwa mudaI meant makazi. Naona zimeshaanza kuchukua nafasi lol😂
Utahadhalisho huo vipi? Unakataa soup😊Kwakweli siitaki tena nimetaadharishwa😐
Mmmh! !!!Nikimuona chiquttita humu nafurahi Sana kwasababu ya ule wimbo wa chiquttita "there is a place I know where we could go aliaaalioooo.....
Thank you,nimekaribiaaNjoo hapa tusogeze muda mbele
Aah kabisa hatutaki kesi za kuhujumu uchumi sisi tunapokea mishahara kihalala kabisa.Endelea kutekeleza jukumu lako kwa ufanisi na umahiri mkubwa, kwani unategemewa sana hapa maana kuna watu wamefanya uwekezaji mkubwa sana hapa jf
That's good of you. Haha ndio ujipange sasa maana ushasema umepapenda hukoNinayo sehemu ya kufikia kwa muda
Kumbe ukilinda vizuri kuna malupulupu kama hizo supu nk, aisee😋😋Hahaha muongo alisema atanipa supu kwasababu amependa kazi nzuri ya lindo niifanyayo
Hata me nimeshtuka kuna walinzi watiifu sijawahi ona amewapa hata mkono wa pongezi nimeshtuka!!Ukiona unaitwa kupewa soup bhasi ujue ww ndo soup..ana hesabu kali mno..kuwa makini na huyu kiumbe Super Villain
Sawa shukrani MkuuThat's good of you. Haha ndio ujipange sasa maana ushasema umepapenda huko
Sio hayo tu, utafurahi mwenyewe😊😊Kumbe ukilinda vizuri kuna malupulupu kama hizo supu nk, aisee😋😋
Sitowaangushaa😁Sio hayo tu, utafurahi mwenyewe😊😊
Tuachane na hayo nitumie hela nimalizie mashono ya barakoa zakoUnamsikikiza huyo anaongea hapa pm anakuwa mpole sana akija kwangu usimtilie maanani huyo.
Sina usingizi nakuwa muda mwengine unakuta labda kesho nafanya kazi lakini bado nalala saa 10 au 9 na mchana silali kabisa lishakuwa tatizo sugu hili.Duh,shida ni nini unakua huna usingizi? Ama kuna vitu unafanya?
Hahaha muongo alisema atanipa supu kwasababu amependa kazi nzuri ya lindo niifanyayo



Na ww leo upo upande wake huyo 

Hiyo supu vipi!! Vya bure nimeanza kuviogopa japo natamani supu 😊Utahadhalisho huo vipi? Unakataa soup😊
Mmmh! !!!
Hahaha nimeonywa baada ya kunywa supu nitageuka kuwa kitoweo cha mtuKumbe ukilinda vizuri kuna malupulupu kama hizo supu nk, aisee😋😋
Ndyo unaamka mkuu, karibuuMakamanda, karibuni tupate chai ya tangawizi na limao
Hata me nimeshtuka kuna walinzi watiifu sijawahi ona amewapa hata mkono wa pongezi nimeshtuka!!


anakupoteza huyo unajua yote ya uwongo haya anayasema ujue.